Taarifa Rasmi

Taarifa Rasmi

Divisheni ya Afrika Mashariki-Kati (ECD) itatoa taarifa rasmi mara kwa mara pale uongozi unapobaini kuwa kuna haja ya kutoa msimamo kuhusu jambo fulani kwa wanachama na umma kwa ujumla. Ukurasa huu unajumuisha taarifa rasmi za sasa za ECD.